Close Menu
NYIMBO MPYA 2026NYIMBO MPYA 2026
  • AUDIO
  • VIDEOS
  • ALBUM / EP
  • DJ MIX
  • E NEWS
  • GOSPEL
  • CONTACT US
Facebook X (Twitter) Instagram
NYIMBO MPYA 2026NYIMBO MPYA 2026
  • AUDIO
  • VIDEOS
  • ALBUM / EP
  • DJ MIX
  • E NEWS
  • GOSPEL
  • CONTACT US
NYIMBO MPYA 2026NYIMBO MPYA 2026
Home ยป FAQ

FAQ

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA (FAQ) โ€“ NGOMAKALI1.COM

1. Ngomakali1.com ni tovuti ya aina gani?

Ngomakali1.com ni blog ya muziki na burudani inayokuletea nyimbo mpya, video za muziki, album, EP pamoja na habari za wasanii na matukio ya entertainment kutoka Tanzania na nje ya nchi.

2. Je, kutumia Ngomakali1.com ni bure?

Ndiyo. Kutembelea na kusoma maudhui yote yaliyopo kwenye Ngomakali1.com ni bure kabisa kwa watumiaji wote.

3. Tovuti inasasishwa mara ngapi?

Tunasasisha maudhui kila siku kwa kuweka nyimbo mpya, trending songs, na habari za burudani ili kuhakikisha wasomaji wetu wanapata updates kwa wakati.

4. Naweza kutangaza muziki au biashara yangu kupitia Ngomakali1.com?

Ndiyo. Tunatoa huduma za promotion kwa wasanii, brand, waandaaji wa matamasha na biashara mbalimbali zinazotaka kufikia wapenzi wa muziki wengi zaidi.

Wasiliana nasi kupitia:

๐Ÿ“ง Email: [email protected]
๐Ÿ“ž Simu / WhatsApp: 0710707007

5. Ninawezaje kupata updates za nyimbo mpya?

Tembelea mara kwa mara tovuti yetu kupitia www.ngomakali1.com ili kupata nyimbo mpya na habari za burudani kila siku.

6. Je, mnapost muziki wa Tanzania pekee?

Hapana. Ingawa tunazingatia sana muziki wa Tanzania kama Bongo Fleva, Singeli, Gospel na Taarab, pia tunachapisha muziki wa Afrika na kimataifa kulingana na trend.

7. Naweza kupendekeza wimbo au habari?

Ndiyo. Unaweza kututumia mapendekezo yako kupitia email au WhatsApp, na timu yetu itayafanyia kazi haraka iwezekanavyo.

8. Nawezaje kuwasiliana na Ngomakali1.com?

๐Ÿ“ง Email: [email protected]
๐Ÿ“ž Simu / WhatsApp: 0710707007

LATEST POST
Gospel Music

AUDIO | Pius Wilson Ft John Nziku – Kesho Yangu | Download Mp3

By Dj StarBoyApril 12, 20260

AUDIO | Pius Wilson Ft John Nziku – Kesho Yangu | Download Mp3 https://dl.ngomakali1.com/upload/?download=pius-wilson-ft-john-nziku—kesho-yangu-ngomakali1.com.mp3…

AUDIO | Dogo Paten โ€“ Mzembe | Download Mp3

April 12, 2026

AUDIO | Pipijojo โ€“ Siachiki | Download Mp3

April 12, 2026

AUDIO | Kibonge Wa Yesu โ€“ Shuka | Download Mp3

April 12, 2026

AUDIO | Msomali Ft Xouh โ€“ Nitampeleka Kwa Mama | Download Mp3

April 12, 2026

AUDIO | Kusslove Ft Rayvanny โ€“ Tunda | Download Mp3

April 11, 2026

AUDIO | Biga Tz – NIACHE | Download Mp3

April 11, 2026

AUDIO | Aslay โ€“ Natulia | Download Mp3

April 10, 2026

Download Full EP | Ibraah โ€“ Poison Medicine

April 10, 2026

AUDIO | Wamotomusic โ€“ Mwenyewe | Download Mp3

April 9, 2026
Trending post
AUDIO

AUDIO | Aslay โ€“ Natulia | Download Mp3

By Dj StarBoyApril 10, 20260

AUDIO | Aslay โ€“ Natulia | Download Mp3 Free stream and download Nyimbo Mpya 2026…

Nyimbo Mpya Wiki Hii 2026

April 6, 2026

AUDIO | Rachats Classic Ft. Mbosso โ€“ Mimi Ni Nani | Download Mp3

April 6, 2026

Mbosso Mimi Ni Nani | Download Mp3

April 5, 2026

AUDIO | Chino Kidd Ft. S2kizzy โ€“ Fashion | Download Mp3

April 3, 2026

AUDIO | Zuchu – I Love You | Download Mp3

March 31, 2026

AUDIO | Lady Jaydee โ€“ Free | Download Mp3

March 27, 2026

AUDIO | Mocco Genius โ€“ Wange | Download Mp3

March 26, 2026

AUDIO | Harmonize – Wewe | Download Mp3

March 26, 2026

AUDIO | Bien Ft Alikiba โ€“ Finale | Download Mp3

March 26, 2026
JOIN US
  • Instagram
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Pinterest
  • Facebook
Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
  • HOME
  • DMCA
  • FAQ
  • CONTACT US
  • About Us
ยฉ 2026 Ngomakali1.com. All Rights Reserved.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.